Ingia / Jisajili

Hosana Mbarikiwa

Mtunzi: Wachira Sammy
> Mfahamu Zaidi Wachira Sammy
> Tazama Nyimbo nyingine za Wachira Sammy

Makundi Nyimbo: Matawi

Umepakiwa na: Samuel wachira

Umepakuliwa mara 231 | Umetazamwa mara 696

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Matawi

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
CHORUS: Hosana ndiye Mbarikiwa, Ajaye kwa jina lake Bwana X2 1a) Umebarikiwa ufalme ujao, wa baba baba yetu Daudi. b) Tandazeni matawi shangilia, Hosana hosana juu mbinguni. 2a) Tazama Mfalme anayekuja, kapanda juu ya mwanapunda b) Pazeni sauti zenu mseme. Hosana hosana juu mbinguni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa