Ingia / Jisajili

Tujongee Karamu ya Bwana

Mtunzi: Wachira Sammy
> Mfahamu Zaidi Wachira Sammy
> Tazama Nyimbo nyingine za Wachira Sammy

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Samuel wachira

Umepakuliwa mara 233 | Umetazamwa mara 1,225

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Twendeni Wakristu twendeni tukaijongee meza yake Bwana Yesu ametuandalia chakula cha roho tena chenye uzima Jongeni tukampokee sote Mwili wake una uzima Damu yake yenye uzima itatupatia uzima wa milele (Aste Aste twendeni tujongee karamu wenye moyo safi x2) 2. Mwili wa Bwana ni chakula Damu yake kinywaji safi, twende tumpokee tupate uzima wa milele 3. Tujitazame nafsi zetu matendo hata na maneno, twende tumpokee tupate uzima wa milele 4. Nyanyuka ukiwa tayari Usije pokea hukumu, twende tumpokee tupate uzima wa milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa