Ingia / Jisajili

Wenye Ukoma

Mtunzi: Wachira Sammy
> Mfahamu Zaidi Wachira Sammy
> Tazama Nyimbo nyingine za Wachira Sammy

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Samuel wachira

Umepakuliwa mara 149 | Umetazamwa mara 630

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Yesu aliwaponya wenye ukoma Galilaya waliosimama mbali wakipaza sauti zao wakisema, Yesu CHORUS ; Mwalimu Yesu wa huruma tuhurumie, na walipoponywa mmoja alirudi na wale wengine hawakurudi kusema asante X2 2. Hebu jiulize mema alokutendea, kwa nini tunashindwa kwenda kumshukuru Tujinyenyekeze twende tuseme asante, na Mungu hataacha kumimina Baraka 3. Hebu jiulize mema alokutendea, kwa nini tunashindwa kwenda kumshukuru Tujinyenyekeze twende tuseme asante, na Mungu hataacha kumimina Baraka 4. Ametuepusha na ajali pande zote, kwa nini tunashindwa kwenda kumshukuru Tujinyenyekeze twende tuseme asante, na Mungu hataacha kumimina baraka

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa