Mtunzi: Wachira Sammy
> Mfahamu Zaidi Wachira Sammy
> Tazama Nyimbo nyingine za Wachira Sammy
Makundi Nyimbo: Ubatizo
Umepakiwa na: Samuel wachira
Umepakuliwa mara 1,600 | Umetazamwa mara 3,761
Download Nota Download MidiFuraha yangu mmimi nimebatizwa upatanisho wangu naye Baba wa upendo
1. Kwa haya maji nimetakaswa, dhambi asili nimeondolewa
2. Kwa ubatizo nimeshakuwa, mkristo kweli mwana wake Mungu
3. Na heri yangu ni kubwa mno, kwani nimepewa maisha mapya
4. Ee Mungu wangu nisaidie niuishi huu ubatizo wangu
5. Kwa ubatizo ninajiunga, na familia yake Mungu Baba
6. Ikiwa wewe hujabatizwa, jiulize kikwazo chako nini