Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Zaburi | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 3,183 | Umetazamwa mara 5,864
Download Nota Download MidiUtushibishe kwa fadhili zako tushibishe, Utushibishe ili tufurahi 2.
Mashairi:
1. Utujalie kuzihesabu siku zetu, tujupatie moyo wa hekima.
2. Ee Bwana urudi, urudi hata lini, uwahurumie watumishi wako.
3. Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako, nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote.
4. Utufurahishe kwa kadiri ya siku ulizo tutesa, kama miaka ile tuliyoona mabaya