Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Wasonga David
Umepakuliwa mara 1,827 | Umetazamwa mara 6,421
Download Nota Download MidiTazama jinsi ilivyo vema na kupendeza ndugu wakae pamoja kwa umoja (x2), ni kama mafuta mazuri kichwani yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake (x2). Kama umande wa Hermoni ushukao milimani, milimani pa Sayuni, maana ndiko bwana alikoamuru baraka; Naam, uzima hata milele.