Ingia / Jisajili

MAMA MWOMBEZI

Mtunzi: Conrad Mghanga
> Mfahamu Zaidi Conrad Mghanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Conrad Mghanga

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Conrad Mghanga

Umepakuliwa mara 265 | Umetazamwa mara 828

Download Nota
Maneno ya wimbo
MAMA MWOMBEZI Chorus: Bikira Maria mama wa Mungu, mama mwenye huruma mwingi wa neema, Utuombee kwa mwanao Yesu x2 1.Sala zako ee mama zatutia nguvu kwenye safari hii yenye mateso, utushike mkono usituache, tembea nasi mama hadi mwisho 2.Pendo ulilolionyesha kwa mwanao pale msalabani linavutia, kwalo pendo ulimwengu umeokoka kupitia kwako mama Maria 3.Ujasiri wako ni wakipekee heshima yako wewe ni ya ukweli, ulikubali ombi la malaika kuchukua mimba bila kupanga

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa