Ingia / Jisajili

NENA NAMI BWANA

Mtunzi: Conrad Mghanga
> Mfahamu Zaidi Conrad Mghanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Conrad Mghanga

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Conrad Mghanga

Umepakuliwa mara 471 | Umetazamwa mara 1,649

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NENA NAMI BWANA (Nena) nena nena nami Bwana, nena nena nena moyoni mwangu, kwa sauti ya upole nieleze akili zangu Bwana zikuelewe x2 1. Neno lako ee Bwana ndiyo taa kuniongoza, pia tena ni mwanga katika njia zangu. 2. Nimekusudia kwa moyo wote akili zote na nguvu zote, kuyafuata mafundisho mafundisho yako daima. 3. Nipe neema ee Mungu wangu nisiwe shamba lenye mawe, nikusikie kwa saburi nitunze neno lako daima. 4. Mimi hapa najitota kueneza neno lako, kwa watoto kwa vijana na wazee wakaokoke.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa