Ingia / Jisajili

Chakula Cha Uzima

Mtunzi: Conrad Mghanga
> Mfahamu Zaidi Conrad Mghanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Conrad Mghanga

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Conrad Mghanga

Umepakuliwa mara 165 | Umetazamwa mara 625

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
CHAKULA CHA UZIMA Yesu ametoa mwili wake na damu yake, tule (na) tunywe tuishe milele x2 1.Roho yangu yakutamani njoo Yesu kaa nami, nijaze nguvu na neema, niongoze siku zote 2.Bila wewe mimi si kitu ninakuhitaji sana, njoo uingie ndani mwangu, niongoze siku zote 3.Nipo hapa Ee Yesu wangu nipatane na wewe tu, unitendee unavyotaka, niongoze siku zote 4.Hali yangu ya udhaifu yaniweka mbali nawe, nimekuja Yesu unipokee, niongoze siku zote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa