Ingia / Jisajili

MEZA IPO TAYARI

Mtunzi: Conrad Mghanga
> Mfahamu Zaidi Conrad Mghanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Conrad Mghanga

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Conrad Mghanga

Umepakuliwa mara 277 | Umetazamwa mara 982

Download Nota
Maneno ya wimbo
MEZA IPO TAYARI Meza yake Bwana ipo tayari, amekwisha andaa Bwana wetu Yesu, twende tukale chakula cha uzima x2 1.Duniani hapa sisi tu wasafiri twaelekea kwake Mungu wetu, safarini twahitaji chakula hiki ili tupate nguvu za kutosha 2.Tunapata neema tunaposhiriki meza yake Bwana kikamilifu, tujitayarishe basi tukampokee Bwana Yesu Kristu kwenye Ekaristi 3.Mwili wake sio kama ile mana waliokula baba zetu jangwani, tule mwili na tunywe damu yake Yesu ili tupate uzima wa milele 4.Tufungue mioyo tumkaribishe ili aingie ndani yetu, tutapata amani pia na furaha tukiwa naye Yesu kila wakati

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa