Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Edward Challe
Umepakuliwa mara 1,570 | Umetazamwa mara 6,087
Download Nota Download MidiKiitikio:
Mfanyieni shangwe mfanyieni shangwe mfanyieni shangwe dunia yote,
namtumikieni Bwana Bwana kwa furaha x2
Mashairi:
1. Njoni mbele za bwana kwa kuimba jueni kwamba yeye ndiye Mungu.
2. Alituumba tu watu wake sisi ni kondoo wa malishoye.
3. Piteni milangoni kwa shukrani daima himidini jina lake.
4. Mtukuzeni Baba pia Mwana na Roho mtakatifu siku zote.