Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 950 | Umetazamwa mara 2,437
Download Nota Download MidiBwana ndiye fungu la posho langu ndiye fungu la posho langu na la kikombe chako wewe unaishika kura yangu x2
1. Mungu unihifadhi mimi kwa maana nakukimbilia wewe nimemwambia bwana ndiwe bwana wangu
2. Nitamhimidi Bwana bwana aliyenipa shauri Naam mtima wangu umenifundisha usiku.
3. Nimemweka bwana bwana mbele yangu daima kwakuwa yuko kuumeni kwangu sitaondoshwa
4. kwahiyo moyo wangu unafurahia utukufu utukufu na utukufu wangu unashangilia