Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 5,538 | Umetazamwa mara 11,729
Download Nota Download MidiKiitikio
Astahili Mwana kondoo, Astahili Mwana kondoo aliyechinjwa, kupokea uweza, na utajiri
na hekima na nguvu na heshima, Utukufu na ukuu unayeye hata milele na milele.
Mashairi
1. Kwa maana utawala wake ni utawala wenye kudumu milele.
2. Ufalme wake uko juu ya falme zote, ndiwe mwenye enzi juu ya mbingu na dunia.