Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 474 | Umetazamwa mara 2,169
Download Nota Download MidiKiitikio
Malaika wa Bwana twakuomba pokea vipaji vyetu
tunavyokutolea (ewe)
Malaika wa Bwana
twakuomba pokea vipaji vyetu tunavyokutolea
Uvipeleke kwake Bwana uvipele kwake Bwana ni mazao ya mashamba yetu ni mazao ya mashamba yetu nguvu zetu Baba upokee *2
Beti
1. Eee Bwana twakuomba uvipokee ni vipaji mapato yetu
wanao. Bwana twakuomba tubari kwa mapaji tupate baraka zako.
2. Ni mazao yetu tumevuna mashambani mwetu tumepata ni Baraka
zako Bwana Mungu twashukuru umetupa riziki ya kukidhi mahitaji
3. Ewe Malaika twakuomba uzipokee fedha zetu zipleke
kwake Bwana Mungu tuombee na Baraka za mavuno ya mashamba yajayo