Mtunzi: Martin Mutua Munywoki
> Tazama Nyimbo nyingine za Martin Mutua Munywoki
Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: Martin Munywoki
Umepakuliwa mara 1,522 | Umetazamwa mara 4,593
Download Nota Download MidiMungu mmoja katika nafsi tatu mamoja, ni fumbo kubwa *2
{ (Kuwa Mungu) Mungu Baba (Mungu) Mungu mwana
(Mungu) Roho Mtakatifu, Mungu mmoja } *2
1. Usifiwe Utatu Mtakatifu, Mungu Baba Mungu Mwana
Na Roho Mtakatifu, milele na milele
2. Usifiwe Mungu Baba Mwenyezi, Mungu Muumba mpaji
Uliyeumba mbingu, nchi na vitu vyote
3. Usifiwe Mungu Mwana Mwokozi, Mungu kweli na mtu kweli
Uliyetukomboa, kutoka utumwani
4. Usifiwe Ro-ho Mtakatifu, mwalimu kiongozi
Mgavi wa vipaji, pia mfariji wetu