Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,292 | Umetazamwa mara 4,879
Download NotaKiitikio:
Mtazame Mwokozi msalabani alivyowambwa ; mateso makali sana kwa ajili ya dhambi zetu, Yesu Kristo alitupenda msalabani akatundikwa\\: Ili tupate kuokolewa, Ili tupate kuokolewa, kwa njia ya msalaba tupate kuokolewa x2 //
Mashairi:
1. Kwa njia ya Msalaba tumepata wokovu, msalaba wa Kristo ni ishara ya wokovu
2. Msalaba wa Kristo ni bendera ya ushindi, ni bendera ya ushindi dhidi ya dhambi zetu wanadamu.