Mtunzi: Samwel Mapande
> Mfahamu Zaidi Samwel Mapande
> Tazama Nyimbo nyingine za Samwel Mapande
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 615 | Umetazamwa mara 1,702
Download Nota Download MidiEe Bwana nauinulia nafsi yangu Ee Mungu wangu nimekutumaini wewe nisiabike adui zangu wasifurahi kwa kunishnda x2
1.Naam wakungoja hawataaibika hata mmoja, wataaibika watendao uhaini bila sababu.
2.Ee Bwana unijulishe njia zako unifundishe mapito yako uniongoze katika kweli yako na kunifundisha.
3.Maana wewe ndiwe Mungu wa wokovu wokovu wangu nakungoja wewe wewe mchana kutwa.