Mtunzi: Michael Matai
> Mfahamu Zaidi Michael Matai
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Matai
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Michael Matai
Umepakuliwa mara 487 | Umetazamwa mara 2,103
Download NotaKiitikio - Isaya 12:6
Mtakatifu wa israeli, Ni mkuu kati yako (Mtakatifu), Mtakatifu wa Israeli ni mkuu (Mkuu) kati yako x2
Mashairi - Isaya 12: 2-3
1. Tazama Mungu ndiye wokovu wangu, Nitatumaini, wala sitaogopa, Maana Bwana Yehova ni nguvu zangu na wimbo wangu.
2. (Terno) Basi kwa furaha mtateka maji, Katika visima vya wokovu.
3. Na katika siku hiyo mtasema, Mshukuruni Bwana liitieni jina lake; Yatangazeni matendo yake kati ya mataifa, Litajeni jina lake kuwa limetukuka.