Ingia / Jisajili

Ninatamani

Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Cyprian Alphayo

Umepakuliwa mara 27 | Umetazamwa mara 57

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ninatamani Yesu uje moyoni mwangu, nakukaribisha x 2 Ninaposogea kujongea meza yako Ee Bwana, naomba unilishe Ninaposoea kujongea meza yako Ee Bwana, naomba uninyweshe 1.Ni meza ya upendo, unijaze upendo, ni meza ya amani, nijaze amani 2.Ni meza ya uzima, unijaze uzima, ni meza ya uhai, nijaze uhai 3.Mwili wako Ee Bwana, chakula cha uzima, damu yako Ee Bwana kinywaji cha uzima. 4.Mwili na damu ya Yesu itulinde tupate uzima wa milele milele Amina.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa