Ingia / Jisajili

Baba Yetu (Pater Noster)-Misa Ya Maserafi

Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Misa

Umepakiwa na: Cyprian Alphayo

Umepakuliwa mara 51 | Umetazamwa mara 48

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, ufalme wako ufike, utakalo lifanyike duniani kama mbinguni,utupe leo mkate wetu wa kila siku, utusamehe makosa yetu, kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea, usitutie katika vishawishi, lakini utuokoe maovuni. Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu na utukufu hata milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa