Ingia / Jisajili

Tetemekeni

Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo | Zaburi

Umepakiwa na: Cyprian Alphayo

Umepakuliwa mara 24 | Umetazamwa mara 37

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Leteni sadaka, leteni, mkaziingie nyua zake Bwana, Leteni sadaka, leteni, mkaingie madhabahuni kwa Bwana, Mwabuduni Bwana mwabuduni, Bwana kwa uzuri, kwa uzuri wa utakatifu, Tetemekeni, mbele zake nchi yote, Tetemekeni mbele za Bwana tetemekeni, mwabuduni kwa uzuri wa utakatifu 1.Mbingu zinafurahi, nchi inashangilia, nasi tupeleke sadaka na shukrani kwa furaha 2.Mashamba na miti ya mwituni, inaimba kwa furaha, nasi tupeleke……….. 3.Bahari inavuma, na vitu vyote vilivyomo, nasi tupeleke……………….,,

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa