Ingia / Jisajili

Agizo Kuu

Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Ubatizo

Umepakiwa na: Cyprian Alphayo

Umepakuliwa mara 81 | Umetazamwa mara 93

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nimepewa Mamlaka yote mbinguni na duniani; (asema Bwana, Bwana Mungu wa Majeshi) x 2 Basi enendeni (nendeni) mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi mkiwabatiza (Kwa jina la Baba,(kwa jina la Baba) na Mwana na Roho (na Roho) Roho mtakatifu) x 2 1(a) Na kuwafundisha kuyashika yote niliowaamuru ninyi (b) Na tazama mimi nipo pamoja nanyi siku zote hata ukamilifu wa dahari

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa