Ingia / Jisajili

Tunaomba Ee Baba Pokea

Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Cyprian Alphayo

Umepakuliwa mara 42 | Umetazamwa mara 73

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Ni vipaji tunaleta, tunaomba Ee Baba pokea, Ni maumbo ya mkate Tunaomba Ee Baba pokea. Ni sadaka, sadaka safi, kuu yam isa, ya amani, takatifu, Baba Mungu pokea. Ni sadaka, ya upendo, ya mwanao Yesu, ya ukombozi msalabani, Baba Mungu pokea. Twaomba Baba pokea mikononi mwako, Pokea kwa manufaa yetu wenyewe, Baba Mungu pokea. Twaomba Baba pokea mioyo yetu, pokea uzibariki na kazi zetu, na za kanisa Baba Mungu pokea. 2a.Nimatoleo tunaleta Tunaomba …………..2b.Na maumbo ya divai tunaomba…….3a.Ni sadaka ya sifa tunaomba………3b.Shukrani ya mioyo yetu tuaomba………..4a.Utukufu tunakupa tunaomba………4b.Sala na maombi yetu tunaomba……5a.Ni upendo wetu kwako tunaomba……5b.Tunaurudisha kwako tunaomba…………….

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa