Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mazishi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 713 | Umetazamwa mara 2,667
Download Nota Download MidiNi safari ya toba wakristo njoni tumrudie bwana tufunge na kusali tujipatanishe na muumba wetu
tutubu dhambi zetu tulizotenda mbele zake Mungu atatusamehe tutafakari sana juu ya teso lake bwana Yesu mkombozi wetu
1. kwa kuwa bwana ni mwenye kusamehe atatusamehe dhambi zetu tulizozitenda
2. bwana asema nirudieni mimi kwa moyo wote kwa kulia na kuomboleza
3. angalieni Mungu kwa wemawake anatupatia wasaa mzuri wa kutafakari juuya uhusiano kati yetu sisi na Mungu wetu