Ingia / Jisajili

Nitakushukuru Vipi Mungu Wangu?

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 66 | Umetazamwa mara 146

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
{Nitakushukuru vipi Mungu wangu? Ee Bwana nitakushukuru vipi?}X2 {Kwa ukarimu wako ee Bwana wangu; mwili wako nimekula, damu yako nimekunywa; chakula cha uzima, kinywaji safi cha roho}X2 1.Ni nani kama Bwana mfalme wa mbingu hata wa dunia anaye andaa karamu na kualika watu kama mimi. 2. Ni pendo la ajabu kutoa mwilio na damuyo Bwana; chakula cha uzima umeniandalia nashukuru. 3. Baraka tele, nazo neema kwa wingi 'kanimiminia; siwezi kukulipa Mungu wangu ila kukushukuru.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa