Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Pasaka
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 372 | Umetazamwa mara 1,466
Download Nota Download MidiJiwe walilokataa waashi limekuwa la pembeni; jiwe hilo ni Yesu Masiha mkombozi wa ulimwengu, jiwe hilo sasa ndilo la pembeni.
1.Ishara zake zilidhihirisha yeye ndiye Masiha; hata hivyo alikataliwa
2.Ni mara ngapi tumemkataa huyu wetu Masiha kwa maneno pia kwa vitendo
3.Tujue kwamba Yesu ndiye njia, ukweli, uzima; tumfuate tusijepotea
4.'Sijali ndugu ukikataliwa kwa sababu yake; tuzo yako utapewa mbinguni.