Ingia / Jisajili

Twende Wote Tukatoe (Nyanyukeni Wote)

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 113 | Umetazamwa mara 341

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Nyanyukeni wote twende mbele zake Bwana; tutoe sadaka yetu kwa muumba wetu ndiye katuumba sisi kwa mfano wake; katupa akili kuliko viumbe vyote {twende ndungu (twende/ tukatoe)} X2 tutoe sadaka kwa Mungu Baba X2 2. Mema anayotutendea tulipe vipi? Tutoe sadaka yetu kama shukurani Hutulinda, hutulisha bila kumlipa; Tutoe sadaka yetu kama shukurani 3. Ndiye aliyemtoa mwana wake Yesu; afe ndipo atukomboe kwa damu yake Pia akamtuma Roho mtakatifu; atuongoze, atufariji maishani.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa