Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 18 | Umetazamwa mara 23
Download Nota Download MidiNinakushukuru ee Mungu wangu ee; kwa moyo wangu
nitakushukuru; kwa kinywa changu, na kwa vitendo nitakushukuru
1.
Ulimtoa mwanao Yesu Kristu (kateswa sana,
kasulubiwa; kwa kifo chake nimeokolewa)X2
2.
Nimepokea mwili wa Bwana Yesu (na damu yake
nimepokea, nimeupata uzima wa roho)X2
3.
Kwa mema yote uliyonijalia, (nakushukuru ee
Mungu wangu, uzipokee shukurni zangu)X2
4.
Ninakuomba mwongozo wako Bwana, (kwa neema zako
nikuheshimu, sharia zako zikaniongoze)X2