Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 334 | Umetazamwa mara 1,358
Download Nota Download MidiSonga ewe ndugu yangu nipe nafasi nicheze
Nitacheza kwa mabega, kiuno nikichezeshe nikifurahia yale Bwana amenitendea
1. Hebu nimchezeye yule aliniumba, hebu nimchezeye huyo Bwana wangu
2. Ni yeye hunilisha, ni yeye huninywesha, "
3. Ni yeye hunilinda, ni yeye kinga langu, "
4. Hebu nimchezeye yule anipendaye, "