Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo | Shukrani
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 640 | Umetazamwa mara 2,051
Download Nota Download MidiKiitikio:
Mema ambayo Bwana umenitendea ni thimbitisho kweli wewe wanipenda
Nami nitatoa nini nikupe Ee Bwana, nitatoa nini kiweze kukupendeza?
1. Ndiwe uliyeniumba, uhai kanipa bure; Nami nitatoa nini kiweze kukupendeza?
2. Ndiwe unayenilisha pia kuninywesha; asante kwa ukarimu wako.
3. Ndiwe uliyemtoa mwanao aniokoe; sifa shukurani zangu Ee Bwana uzipokee.
Hitimisho:
Bwana zipokee zangu shukurani zipokee; asante Bwana Mungu, asante Bwana