Ingia / Jisajili

Hili Ni Neno La Bwana

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 48 | Umetazamwa mara 116

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Hili ni neno la Bwana ndilo neno la uzima; Ndilo hili neno la uzima, aa aa: Latuletea uzima hili neno lake Bwana; ndilo hili neno la uzima. Basi sote tulisikilize neno lake Bwana, ndilo nguzo letu (kweli), maishani mwetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa