Ingia / Jisajili

Nuru Huwazukia

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 363 | Umetazamwa mara 497

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 5 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nuru huwazukia wenye adili (adili) gizani nuru huwazukia wenye adili gizani X2

1. Nuru huwazukia wenye adili gizani ana fadhili na huruma na haki heri atendaye fadhili na kukopesha atengenezaye mambo yake kwa haki

2. Kwa maana hataondoshwa kamwe mwenye haki atakumbukwa milele hataogopa hataogopa habari mbaya moyo wake u imara ukimtumaini Bwana

3. Moyo wake hautaondoshwa hataogopa hata awaone watesi wake wameshindwa amekirimu na kuwapa maskini haki yake haki yake yakaa milele pembe yake itatukuzwa kwa utukufu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa