Ingia / Jisajili

Sanduku La Agano

Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Cyprian Alphayo

Umepakuliwa mara 21 | Umetazamwa mara 35

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mama Maria mama, Sanduku la agano uliyemzaa mwokozi tunakuheshimu, tabernakulo ya kwanza tunakusalimu, Mama salamu, Umejaa neema x 2 Wewe ni mama mwombezi wetu, hekalu takatifu tuombee sisi wanao x 2 1.Umebarikiwa mama, kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa 2.Sisi ni mzao wako, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu watu wa milki ya Mungu. 3.Utuombee mama, kwa Mungu mwenye enzi, tuepuke majaribu tufike kwake mbinguni

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa