Ingia / Jisajili

Ee Bwana Utuonyeshe Rehema Zako

Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Cyprian Alphayo

Umepakuliwa mara 33 | Umetazamwa mara 50

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana Utuonyeshe rehema zako, utuonyeshe rehema, rehema zako x 2 (Bwana utupe wokovu) x 5 Utupe wokovu wako. 1(a) Na nisikie atakavyosema Mungu Bwana, maana atawambia watu wake amani (b) Hakika wokovu wake u karibu na wamchao utukufu ukae katika nchi yetu 2.Fadhili na kweli zimekutana, haki na amani zimebusiana, kweli imechipuka katika nchi, haki imechungulia kutoka mbinguni. 3(a) Naam Bwana atatoa kilicho chema, na nchi yetu itatoa mazao yake (b) Haki itakwenda mbele zake, nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa