Ingia / Jisajili

Ahadi Ya Roho

Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Pentekoste

Umepakiwa na: Cyprian Alphayo

Umepakuliwa mara 46 | Umetazamwa mara 52

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Shuka Roho, shuka Roho, Juu yetu, shuka utujaze, utujaze nguvu. (Bwana Yesu alituagiza tusitoke hapa, mpaka hapo atakapokuja huyo msaidizi, ni wewe Roho mtakatifu, nafsi ya tatu ya Mungu) X2 Mashairi: 1. Bila wewe hatuwezi Kwenda Roho, tunaomba msaada wako Roho, Tunakuhitaji, hatutoki mahali hapa bila nguvu zako 2. Utujaze mapaji yako Roho Imarisha karama zetu Roho……………………………………………. 3. Wewe ni mpole na mnyenyekevu Roho Tupe nguvu ya kukupenda Roho………………………………………… Hitimisho/Coda: [(Roho) utuvuvie (Roho) utujaze nguvu, Utuimarishe] X3

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa