Ingia / Jisajili

Matoleo Yetu

Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Cyprian Alphayo

Umepakuliwa mara 36 | Umetazamwa mara 51

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Matoleo yetu tunaleta kwako, tunayaunganisha na sadaka yako Ee Bwana, Ee Bwana, Sadaka kuu na takatifu. 1.Baba, katika yote uliyotujalia, tunakurudishia matoleo haya kama vipaji Baba pokea. 2.Mazao yetu ya shambani mkate na divai tunakurudishia…………….. 3.Fedha na mioyo yetu tunaleta kwako tunakurudishia………………….

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa