Ingia / Jisajili

Paza Sauti Piga Kelele

Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Cyprian Alphayo

Umepakuliwa mara 142 | Umetazamwa mara 146

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 3 ya Majilio Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Paza sauti piga kelele, piga kelele, paza sauti, piga kelele, Maana mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako. 1.Tazama Mungu ndiye wokovu wangu, nitatumaini wala sitaogopa, nitatumaini, nitatumaini, wala sitaogopa. 2. Maana Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu, naye amekuwa wokovu wangu, basi kwa furaha mtateka maji katika visima vya wokovu 3.Mshukuruni Bwana liitieni jina lake, yatangazeni matendo yake, yatangazeni matendo yake, kati ya mataifa litajeni jina lake kuwa limetukuka 4.Mwimbieni Bwana kwa kuwa ametenda makuu, na yajulikane haya katika dunia yote, paza sauti piga kelele mwenyeji wa sayuni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa