Ingia / Jisajili

Ee Bwana Nakuinulia Nafsi Yangu

Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Cyprian Alphayo

Umepakuliwa mara 106 | Umetazamwa mara 145

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 1 ya Majilio Mwaka A
- Katikati Dominika ya 1 ya Majilio Mwaka B
- Katikati Dominika ya 1 ya Majilio Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana, Ee Bwana, Ee Bwana, Ee Bwana, Ee Bwana nakuinulia nafsi yangu (nafsi yangu) Ee Bwana nakuinulia nafsi yangu, Nakuinulia nafsi yangu x 2 1(a) Ee Bwana unijulishe njia zako, unifundishe mapito yako, unifundishe mapito, mapito yako. (b) Uniongoze katika kweli yako, Uniongoze katika kweli yako na kunifundisha, na kunifundisha. 2(a) Bwana yu mwema mwenye adili, kwa hiyo atawafundisha, atawafundisha wenye dhambi, wenye dhambi njia. (b) Wenye upole atawaongoza, katika hukumu, wenye upole atawafundisha nja yake 3(a) Nji azote za Bwana ni fadhili na kweli, kwao walishikao agano lake, walishikao agano lake na shuhuda zake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa