Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 2,955 | Umetazamwa mara 5,883
Download Nota Download MidiKiitikio
Shamba la mizabibu la Bwana, Shamba la mizabibu la Bwana
ndilo nyumba ya Israeli, ndilo nyumba ya Israeli.
Mashairi
1.Ulileta mizabibu kutoka Misri, ukawafukuza mataifa, ukaupanda
nao uliyaeneza matawi yake hata baharini, na vichipukizi vyake hata kunako mto
2. kwanini umezibomoa kuta zake, wakuchuma wote wapitao njiani ?
nguruwe wa msituni wanauharibu, na hayawani wa kondeni wanautafuna
3. Ee Mungu wa majeshi tunakusihi urudi, utazame toka juu uone, uujilie mzabibu huu,
na mche ule ulioupanda, kwa mkono wako wa kuume
4. Basi hatutakuacha kwa kurudi nyuma, utuhuishe nasi tutaliitia jina lako,
Ee Bwana Mungu wa majeshi uturudishe, uangazishe uso wako nasi tutaokoka