Ingia / Jisajili

Sikuketi Na Watu Wa Ubatili

Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: David Kacholi

Umepakuliwa mara 147 | Umetazamwa mara 985

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Sikuketi pamoja na watu wa ubatili, (Bwana), wala sitaingia mnamo wanafiki x 2.
Nimelichukia, kusanyiko la waenda mabaya wala sitaketi pamoja na watu waovu x 2.

Mashairi:

1. Maana fadhili zako, zi mbele ya macho yangu, nami nimekwenda katika kweli katika kweli  yako.

2. Nitanawa mikono yangu, kwa kutokuwa na hatia, nitayazunguka madhabahu yako madhabahu yako Ee Bwana.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa