Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 932 | Umetazamwa mara 3,263
Download Nota Download MidiKiitikio:
Neno moja nimelitaka kwa Bwana, nalo ndilo nitakalo litafuta x 2 Nikae nyumbani mwa Bwana, nikae nyumbani mwa Bwana, siku zote za maisha yangu x 2.
Mashairi:
1. Niutazame uzuri wa Bwana, na kutafakari hekaluni mwake.
2. Mradi atanisitiri bandani mwake siku ya mabaya, atanisitiri katika sitara ya hema yake, nakuiinua juu ya mwamba.