Ingia / Jisajili

Hubirini Kwa Sauti Ya Kuimba

Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: David Kacholi

Umepakuliwa mara 4,145 | Umetazamwa mara 9,243

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Hubirini kwa sauti ya kuimba, tangazeni haya yatamkeni mpaka mwisho wa dunia X2. Semeni Bwana, amelikomboa, amelikomboa taifa lake taifa lake aleluya aleluya x 2.

Mashairi:

1. Pazeni sauti ya furaha isikike, pazeni isikike mpaka kingo za dunia.

2. Enyi nchi zote mshangilieni Mungu, imbeni utukutu utukufu wa jina lake.

3. Njoni sikieni ninyi nyote mnaomcha, naminitatangaza alionitendea.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa