Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,321 | Umetazamwa mara 5,495
Download Nota Download MidiKiitikio: Roho ndiyo itiayo uzima mwili haufai kitu x2. Maneno haya niliyowaambia mimi ni Roho tena ni uzima x2.
Mashairi:
1. Sheria ya Bwan ani kamilifu, huiburudisha nafsi, ushuhuda wa Bwana ni amini, humtia mjinga hekima.
2. Maagizo yake ni ya adili, hufurahisha moyo, amri ya Bwana ni safi huyatia macho nuru.
3. Kicho chake Bwana kitakatifu, kinadumu milele, hukumu za Bwan ni kweli, zina haki zina haki.