Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,037 | Umetazamwa mara 5,462
Download Nota Download MidiKiitikio:
Bwana asema, Sitawaacha ninyi yatima, sitawaacha ninyi yatima naja kwenu na mioyo zenu zitajawa na furaha
Mashairi:
1. Nami nitamwomba Baba naye atawapa msaidizi mwingine, ili ake nanyi hata milele.
2. Ndiye Roho wa kweli, ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui, bali ninyi mnamtambua, maana anakaa anakaa kwetu, naye atakuwa ndani yenu.
3. Bado kitambo kidogo, ulimwengu haunioni tena mimi, bali ninyi mnaniona, kwa sababu ni ngali hai mimi, ninyi nanyi mtakuwa hai.