Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,784 | Umetazamwa mara 4,322
Download Nota Download MidiKiitikio:
Ee Mungu Ee Mungu, nimekuita kwa maana utaitika, utege sikio lako, utege sikio lako usikie neno langu x2.
Mashairi:
1. Dhihirisha fadhili zako za ajabu, wewe uwaokoaye wanaokukimbilia, kwa mkono wako wa kuume uwaokoe, nao wanaokukimbilia.
2. Unilinde kama mboni mboni ya jicho, unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako.
3. Wasinoine wasiohaki wanaonionea, adui wa roho yangu wanaonizunguka.