Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,533 | Umetazamwa mara 4,733
Download Nota Download MidiKiitikio:
Ee Baba uvipokee, (leo) vipaji tunavyoleta, pokea uvibariki.
Mashairi:
1. Mkate na divai Ee Baba upokee, kwa wema wako Baba uvibariki.
2. Na pia nafsi zetu Ee Baba upokee, kwa wema wako Baba uzitakase.
3. Na pia kazi zetu izibariki Baba, kwa wema wako Baba uzibariki.
4. Mavuno ya mashamba uyapokee Baba, kwa wema wako Baba uyabariki.