Ingia / Jisajili

Tuingie Nyumbani Mwa Bwana

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 200 | Umetazamwa mara 460

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tuingie nyumbani mwa Bwana ae; kwa shangwe, vifijo na nderemo tumfanyie shangwe, tumshangilie; tumwabudu Bwana wa majeshi (ae) X2 1. Njooni wapenzi tumsifu kweli matendo yake makuu. 2. Njjoni wapenzi tumwabudu, yeye ndiye Bwana wa mabwana. 3. Ni nyumba ya sala tuingie tukampe Bwana sala zetu. 4. Njooni wapenzi tushukuru kwa wema wake Bwana kwetu sisi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa