Ingia / Jisajili

Mpenzi Wa Moyo Wangu (Darling)

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 132 | Umetazamwa mara 243

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mpenzi wa moyo wangu naahidi leo kukupenda nyakati za shida na za furaha; X2 (Mpenzi wa moyo wangu ‘mi ni wako (darling), moyo wangu uwazi karibu ‘darling’)X2 1. Leo naja kanisani kuthimbitisha kuwa ndiwe nimekuchagua, wengine sitaki 2. Na baraka za watoto utujalie Bwana tuwalee kwa hekima wakaishi vyema 3. Ee Mungu Baba Mwenyezi utuongoze Bwana tukaishi tukitenda mapenziyo Bwana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa