Ingia / Jisajili

Nipokee Baba

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 24

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nipokee Baba, mimi mwanao mwenye dhambi, natubu dhambi zangu nisamehe. 1. Natubu dhambi zangu, natubu kwako Bwana; kwa huruma yako nisamehe Bwana wangu. 2.Mimi ni mwenye dhambi kutoka utotoni, hata nikiwa tumboni mwake mama yangu. 3. Naomba neema yako 'nijalie Bwana, nishinde vishawishi vyake mwovu shetani.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa