Ingia / Jisajili

Twende Wote Tukatoe

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 128 | Umetazamwa mara 331

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
{Twende wote tukatoe x3 sadaka kwa Bwana} X2 1. Twende tukatoe sadaka ya upendo – {tutoe sadaka ya upendo, pokea sadaka yetu Baba}X2 2. Twende tukatoe sadaka ya shukrani – {tutoe sadaka ya shukrani, pokea sadaka yetu Baba}X2 3. Twende tutimize ahadi zetu kwake – { tutoe sadaka ya nadhiri pokea sadaka yetu Baba}X2 4. Twende tukatoe sadaka ya limbuko– {tutoe sadaka ya limbuko, pokea sadaka yetu Baba}X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa